Jumatano, 6 Desemba 2017

Beda Achaguliwa Mwenyekiti CCM Katavi

Katavi

Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mpanda amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho mkoa wa Katavi

Bwana Beda Katani amechaguliwa jana katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Skylux Marando akimshinda  mpinzani wake Eneck Gwambasa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Mpanda

Wengine waliochaguliwa ni pamoja na Girbet Jordani kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Msimamizi wa uchaguzi huo alikuwa mkuu wa wilaya ya Kongwa  mkoani Dodoma Deo Denjembi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni